Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Marais Paul Kagame wa Rwanda na Yoweri Museveni wa Uganda Wazungumzia tofauti zao

Imechapishwa:

Maraisi Paul Kagame wa Rwanda na mwenzake Yoweri museven wa Uganda wamekutana nchini Uganda na kuahidi kuendeleza ushirikiano baina ya pande hizo mbili.Marais hao wawili wameahidi kumaliza tofauti zilizopo baina yao kwa kuhakikisha taasisi za nchi za nchi zao zinafikia muafaka.Mwandishi wa Rfi Kiswahili, Steven Mumbi amezungumza na wasikilizaji kupata maoni yao baada ya hatua hiyo.

Rais wa Uganda Yoweri Musveni (Kushoto) akisalimiana na rais wa Rwanda Paul Kagame (Kulia) katika siku zilizopita
Rais wa Uganda Yoweri Musveni (Kushoto) akisalimiana na rais wa Rwanda Paul Kagame (Kulia) katika siku zilizopita PHOTO | PRESIDENCY
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.