Rais Museven asema ataanza kusaini tena hukumu ya kifo
Wiki iliyopita rais wa Uganda, Yoweri Museven alitishia kuwa ataanza kusaini tena hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu ya kunyongwa kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu.
Mwandishi wetu Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ambao wametoa maoni yao.