Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Mohammed Shein : Zanzibar imefanikiwa kupambana na umasikini

media Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Ikulu/Issa Michuzi

Watanzania wanaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar, mapinduzi yaliyoshuhudia kuangushwa kwa utawala wa Sultan siku kama ya leo mwaka 1964.

Akiongoza maadhimisho hayo, rais wa Zanzibar Mohammed Shein amesema tangu kuondolewa kwa Sultan, Zanzibar imepiga hatua katika kupambana na umasikini, siasa na masuala ya usalama.

Zaidi ya wanamapinduzi 800 walishiriki kwenye mapinduzi hayo yaliyoifanya Zanzibar kuwa huru na baadaye kujiunga na Tanganyika kuunda Tanzania.

Pamoja na mafanikio hayo, Wazanzibari bado wanashuhudia changamoto za kisiasa, hasa wakati wa uchaguzi wa urais kati ya chama tawala CCM na kile cha upinzani CUF.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana