Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Umoja wa Ulaya wakosoa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya 2017

Imechapishwa:

Waangalizi wa Umoja wa Ulaya walioshudia Uchaguzi Mkuu nchini Kenya mwaka 2017, wametoa ripoti yao ya mwisho na kueleza kuwa, wanasiasa walitumia fedha kuwahonga wapiga kura, kuitisha tume ya Uchaguzi na kutumia fedha za umma kufanya kampeni na hivyo, kuwanyima Wakenya haki yao ya msingi.

Wapiga kura nchini Kenya mwaka 2017
Wapiga kura nchini Kenya mwaka 2017 REUTERS/Siegfried Modola
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.