Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Uhuru wa Tanganyika

Imechapishwa:

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Ujamaa, dhana ya kujitegemea na Azimio la Arusha ni miongoni mwa mada muhimu unapozungumzia historia ya Tanzania. Juma hili tutajikita kwenye maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika tukijikumbushia mawili matatu aliyosema Baba wa Taifa pamoja na uchambuzi kutoka moja wa wanazuoni wa siyasa nchini Tanzania, Dokta Bashiru Ally, Muadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwasisi wa Tanzania huru.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwasisi wa Tanzania huru.
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.