Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 13/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Shinikizo zaongezeka Kenya kuzuia kuapishwa kwa Odinga

media Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Kenya, Raila Odinga. REUTERS/Thomas Mukoya

Shinikizo zinaongezeka kumtaka kiongozi wa muungano wa uypinzani nchini Kenya kuachana na mpango wake wa kuapishwa kama rais wa watu saa 48 kabla ya tukio hilo kufanyika sambamba na shereha za siku ya Jamhuri.

Serikali ya Jubilee , wanadiplomasia, viongozi wa kidini na washirika wa kinatra huyo wa muungano wa upinzani wamezidisha juhudi zao kuhakikisha kwamba tukio hilo linalotarajiwa kuweka wazi baraza la wananchi halihusishi kula kiapo.

Wajumbe wa mataifa ya Magharibi na kanisa wanapendelea mazungumzo kati ya rais Kenyatta na Odinga yafanyike kufuatia wasiwasi kuwa njia iliyochaguliwa na upinzani ilikuwa inalenga kuzusha machafuko.

Jana Jumamosi rais Kenyatta alisema hayuko tayari kwa mazungumzo yoyote kuhusu mabadiliko ya uchaguzi

Vyombo vya usalama vimejiandaa kuhakikisha haviruhusu mkusanyiko wa upinzani siku ya Jumanne jijini Nairobi wakati rais Uhuru Kenyatta atakuwa akiwaongoza wakenya kuadhimisha siku kuu ya Jamhuri katika uwanja wa Kasarani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana