Awamu ya nne na ya mwisho ya mazungumzo ya kisiasa nchini Burundi kujaribu kutatua mvutano wa kisiasa uliozuka mwaka 2015 baada ya rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu, yanafanyika mjini Arusha Kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Wawakilishi wa serikali na mashirika ya kiraia yanayoungwa mkono na serikali ya Bujumbura yanashiriki lakini wanasiasa wa upinzani chini ya umoja unaofahamika kama CNARED, wamesusia mazungumzo hayo kwa sababu mbalimbali ikiwemo suala la suala. Wanasiasa hao wanaishi nje ya nchi, wanataka mazungumzo hayo kuahirishwa. Nini hatima ya mazungumzo haya ?
Vipindi vingine
-
Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022
Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.15/09/202110:10 -
Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?Mjadala wa wiki na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka10/09/202110:30 -
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.25/08/202113:41 -
Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde
Tunajadili siku 100 za serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Sama Lukonde.12/08/202109:55 -
Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu
Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaa vya kutosha ? Tunajadili.15/07/202110:11