Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, sikiliza makala haya kupitia radio yako pendwa rfikiswahili.
Vipindi vingine
-
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.18/11/202310:00 -
10:09
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio15/09/202310:03 -
Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki
Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma18/08/202309:59 -
10:00