Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Wanawake wafanya biashara maeneo ya mipakani

Imechapishwa:

Mfumo dume una athari hasi kwenye ustawi wa maendeleo ya wanawake na usawa wa kijinsia. TGNP Mtandao, kila kukicha, upo mstari wa mbele kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa katika hali ya usawa wa kijinsia na wanawake kusonga mbele pamoja na wanaume. Tega sikio, umakinike na shirika hilo katika wimbi la kiharakati kitaifa na kimataifa.

Wanawake na wanaume hawapo katika kasi ya maendeleo kwa uwiano uliolingana.
Wanawake na wanaume hawapo katika kasi ya maendeleo kwa uwiano uliolingana. Picha na TGNP Mtandao
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.