Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/09 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/09 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/09 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Kiongozi wa upinzani akamatwa kwa kosa la mauaji Uganda

media Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye. © AFP PHOTO / ISAAC KASAMANI

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alikamatwa jana jioni katika Wilaya ya Kabale akiwa katika kampeniza kuhamamisha wafuasi wake kutokubali mabadiliko ya Katiba kuondoa kikomo cha umri kwa yeyote anayetaka kuwania urais nchini humo.

Polisi wanasema kuwa, Besigye anashtumiwa kwa kosa la majaribio ya mauaji baada ya mkutano wake wa siasa siku ya Jumatano kushuhudia makabiliano kati ya wafuasi wake na polisi katika eneo la Rukungiri na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Mwanaharakati wa wanawake Ingrid Turinawe na mwanasiasa wa chama cha FDC nao pia walikamatwa.

Mgogoro wa kisiasa kuhusu ukomo wa umri wa rais unaendelea kuzua hali ya sintofahamu nchini humo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana