Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Jamii ifanye nini kutokomeza mapenzi ya jinsi moja na ushoga

Imechapishwa:

Wanaume 12 wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Tanzania kwa kujihusisha na ushoga.Nchini Tanzania vitendo hivyo ni kinyume cha sheria.Tatizo la ushoga limeshamiri katika maeneo mengi duniani,je jamii ya mataifa ya Afrika mashariki na kati inapaswa kufanya nini ili kukomesha vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja..tuandikie namba zako za simu na utoe maoni yako..

Maandamano ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda
Maandamano ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda AFP PHOTO/ ISAAC KASAMANI
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.