Habari RFI-Ki
Afisa wa IEBC Bi Akombe ajiuzulu Kenya,je nini hatma ya kisiasa nchini kenya
Imechapishwa:
Cheza - 10:14
Afisa wa IEBC Roselyn Akombe ajiuzulu nafasi yake na kukimbilia Marekani akidai kusalimisha maisha yake na miongoni mwa sababu alizotaja kufikia uamuzi huo ni pamoja na kuwepo mgawanyiko miongoni mwa maafisa wa IEBC....hatua hii itaathiri vipi uchaguzi ujao Octoba 26?