Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Juhudi za kutokomeza umasikini ni jukumu la jamii nzima

Imechapishwa:

Karibu katika Makala ya Habari Rafiki, Leo ni siku ya kutokomeza umasikini Duniani, Umoja wa Mataifa unataka Mshikamano zaidi katika kutokomeza Ufukara.Je, Serikali za Afrika Mashariki na kati na wananchi wanafanya vya kutosha katika kupambana na umasikini..Tuandikie namba yako ya simu na maoni yako.

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres REUTERS/Mike Segar
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.