Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Imechapishwa:

Juma hili tunatupia jicho kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania. Tunatupia jicho moja ya kazi zake muhimu, Azimio la Arusha mwaka 1967. Wanazuoni wa utamaduni wanaweka bayana pia kuwa mchango wa Mwalimu Nyerere ulikuwa pia kwenye masuala ya kitamaduni na sanaa.

Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere
Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere Butiama Gallery/Govt
Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.