Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Hali ya mchezo wa riadha nchini Tanzania

Imechapishwa:

Mchezo wa riadha nchini Tanzania, si maarufu sana kama ilivyo katika nchi jirani ya Kenya ambayo imekuwa bingwa wa riadha duniani. Siku ya Jumamosi kulikuwa na mashindano ya Dar Rotary Marathon. Wanariadha wa Tanzania walishindwa kufanya vizuri katika mashindano hayo. Tunajadili hili.

Mashindano ya riadha ya Dar Marathon 2017
Mashindano ya riadha ya Dar Marathon 2017 www.rotarydarmarathon.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.