Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Raila ajitoa katika kinyang'anyiro huku Kenyata akisema bado yupo tayari kushiriki uchaguzi

Imechapishwa:

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa uchaguzi utafanyika nchini humo licha ya wagombea wa Muungano wa upinzani wa NASA kutangaza kujiondoa katika uchaguzi wa marudio kama ilivyotangazwa na tume huru ya uchaguzi IEBC.Wachambuzi wa siasa Dr Brian Wanyama na Haji Kaburu wanaangazia hali ya mambo nchini Kenya.

Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga.
Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga. REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.