Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

LE POSH: PARIS NDANI YA DAR

Imechapishwa:

Juma hili tunakuletea onyesho la mitindo, Le Posh, Paris ndani ya Dar. Wadau wanazungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale kinagaubaga. Pata habari, elimu na burudani kama kawaida ya kila Jumapili kupitia rfi-Kiswahili.Sikiliza pia wadau wengine wakizungumza kwa kubofya hapa chini (mitindo nchini Tanzania).

Moja ya jukwaa la mitindo jijini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Moja ya jukwaa la mitindo jijini Dar es salaam, nchini Tanzania. Picha na Le Posh Fashion Show
Matangazo ya kibiashara

Mitindo nchini Tanzania
20:27

CHANGU CHAKO CHAKO CHANGU 08TH OCTOBER 2017 PAD

Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.