Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Afrika mashariki itadhibiti vipi utengenezwaji wa pombe haramu,wasikilizaji wajadili

Imechapishwa:

Zaidi ya watu kumi wameripotiwa kupoteza maisha jijini Dar es salaam juma hili baada ya kunywa kilevi kinachosadikika kuwa haramu katika kitongoji cha kimara jijini humo.Mamlaka nchini Tanzania zimekuwa zikikabiliana na uzalishaji wa pombe haramu lakini bado juhudi hizo zinakabiliwa na changamoto kadhaa,wasikilizaji wanajadili nini kifanyike kukomesha utengenezwaji wa pombe hiyo...

Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii nchini Tanzania, Ummy Mwalimu.
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii nchini Tanzania, Ummy Mwalimu. YouTube/Screenshot
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.