Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Besigye awataka Waganda kutembea kwa miguu kila jumanne kupinga mabadiliko ya katiba

Imechapishwa:

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amewataka waganda kupinga mabadiliko ya katiba ambayo yanadaiwa kulenga kumruhusu raisi Museven kuwania tena uraisi kinyume cha katiba ya sasa inavyosema.Wasikilizaji wanaangazia mbinu ya kutembea kwa miguu itawasaidia kushawishi bunge lisifanye mabadiliko?

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye. AFP PHOTO / ISAAC KASAMANI
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.