Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Mambo ya Historia na Le Posh

Imechapishwa:

Juma hili tunakuletea sehemu ya pili ya mada juu ya historia ya eneo liitwalo Kwa Mathias, Kibaha Mjini, mkoa wa Pwani, nchini Tanzania. Kwenye utamaduni, tunakuletea maandalizi ya maonyesho ya mitindo jijini Dar es salaam, Le Posh Fashion. Pamoja na muziki kama kawaida ya kila Jumapili kupitia Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale.

Le Posh Fashion ni maonyesho ya mitindo nchini Tanzania, inatoa pia nafasi kwa wasanifu na wana wa mitindo chipukizi.
Le Posh Fashion ni maonyesho ya mitindo nchini Tanzania, inatoa pia nafasi kwa wasanifu na wana wa mitindo chipukizi. Le Posh Fashion
Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.