Mjadala wa Wiki
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda wataka kubadilisha Katiba
Imechapishwa:
Cheza - 15:13
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda, wanapanga kuwasilisha mswada bungeni kuibadilisha Katiba ili kuondoa kifungu cha ukomo wa urais. Katiba ya Uganda inaeleza kuwa mtu hastahili kuwania urais akiwa na zaidi ya miaka 75. Wabunge wa upinzani wameapa kutoruhusu mabadiliko hayo. Je, wataweza ?