Pata taarifa kuu

Polisi yaonya kufanyika kwa maandamano Alhamisi hii nchini Uganda

Polisi nchini Uganda imepiga marufuku mpango wa kufanyika maandamano hii leo siku ya Alhamisi ambapo wabunge wanakutana kujadili mswada ambao unapendekeza kuondolewa miaka ya kuwania urais nchini humo.

Maandamano makubwa yanatazamiwa kufanyika nchini Uganda.
Maandamano makubwa yanatazamiwa kufanyika nchini Uganda. ©Thomas Trutschel/Getty Images
Matangazo ya kibiashara

Wapinzani wamesema wataandamana kupinga, jaribio lolote la kutaka kupitishwa kwa mswada huo, Polisi wamepiga marufuku mpango wa kufanyika maandamano ambapo

Wabunge wa chama tawala Cha NRM wao wamekubaliana kuhusu mipango ya kuondoa kikomo cha umri wa urais.

Ikiwa watafaulu katika kikao cha hivi leo, ina maana kwamba mswada huo utamwezesha Rais Yoweri Museveni ambaye anaaminika kuwa mwenye umri wa miaka 73, kuwania tena uchaguzi wa mwaka 2021.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.