Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sanaa na Sinema

Imechapishwa:

Fuatilia mada juu ya sanaa na wasanii nchini Tanzania kama ilivyoainishwa na Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, sehemu ya pili.Pia, tunakuletea mawili matatu juu ya filamu ya Kitanzania iliyofanya vizuri kwenye tasnia ya sinema nchini na kunyakuwa tuzo tatu kwenye tamasha la filamu visiwani Zanzibar na tuzo moja kwenye tamasha la filamu nchini Zimbabwe.Wahusika walioshiriki kukuletea filamu hii ya kipekee kwa kupitia kampuni yao ya Kijiweni Production wanazungumza kinagaubaga kwenye makala haya ya Changu Chako Chako Changu.

T-Junction ni filamu ya Kitanzania iliyochukua tuzo tatu kwenye tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF.
T-Junction ni filamu ya Kitanzania iliyochukua tuzo tatu kwenye tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF. Picha na Kijiweni Production
Matangazo ya kibiashara

Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.