Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/11 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/11 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Sanaa na Sinema

Sanaa na Sinema
 
T-Junction ni filamu ya Kitanzania iliyochukua tuzo tatu kwenye tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF. Picha na Kijiweni Production

Fuatilia mada juu ya sanaa na wasanii nchini Tanzania kama ilivyoainishwa na Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, sehemu ya pili.

Pia, tunakuletea mawili matatu juu ya filamu ya Kitanzania iliyofanya vizuri kwenye tasnia ya sinema nchini na kunyakuwa tuzo tatu kwenye tamasha la filamu visiwani Zanzibar na tuzo moja kwenye tamasha la filamu nchini Zimbabwe.

Wahusika walioshiriki kukuletea filamu hii ya kipekee kwa kupitia kampuni yao ya Kijiweni Production wanazungumza kinagaubaga kwenye makala haya ya Changu Chako Chako Changu.

 • Safari ya Maua

  Safari ya Maua

  Ungana na wasanii wanawake kutoka Tanzania kwenye safari yao, Safari ya Maua, maonyesho ya sanaa yaliyoandaliwa na Nafasi Art Space, kituo cha sanaa, jijini Dar es salaam, …

 • Utamaduni na muziki

  Utamaduni na muziki

  Juma hili tunakuletea ngoma za kiasili kutoka Rwanda pamoja na masuala juu ya utayarishaji, uwongozaji na usambazaji wa filamu nchini Tanzania.

 • East Africa Art Biennale 2017

  East Africa Art Biennale 2017

  Fuatilia wasanii na wadau wasanii wanasema nini kuhusu East Africa Art Biennale 2017, tukio muhimu kwa wasanii mbali mbali duniani, hususan Africa Mashariki. Kwa upande …

 • Msaanii si fundi!

  Msaanii si fundi!

  Sikiliza kwa nini msanii si fundi, Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, anaendelea kutuelimisha juu ya sanaa kwa ujumla. Pamoja na mambo kedekede juu …

 • Habarika, elimika na burudika

  Habarika, elimika na burudika

  Endelea kuhabarika, kuelimika na kuburudika juu ya masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa. Sikiliza upate mambo safi...

 • Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

  Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

  Juma hili tunatupia jicho kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania. Tunatupia jicho moja ya kazi zake muhimu, Azimio la Arusha mwaka …

 • LE POSH: PARIS NDANI YA DAR

  LE POSH: PARIS NDANI YA DAR

  Juma hili tunakuletea onyesho la mitindo, Le Posh, Paris ndani ya Dar. Wadau wanazungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale kinagaubaga. Pata habari, …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana