Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Vita dhidi ya uuzwaji holela wa dawa za nguvu za kiume kuanza Tanzania

Imechapishwa:

Serikali ya Tanzania imetangaza vita mpya ya kupambana na uuzaji holela wa dawa zisizosajiliwa na mamlaka husika jambo linalovunja sheria za nchi.Katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa wimbi la uuzwaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume.Hali ikoje nchini mwako?unafikiri chanzo cha tatizo hili ni nini na nini ufumbuzi wake?

Jamii ya  wamasai imekuwa maarufu kwa uuzaji wa dawa za miti shamba katika siku za hivi karibuni
Jamii ya wamasai imekuwa maarufu kwa uuzaji wa dawa za miti shamba katika siku za hivi karibuni rfi
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.