Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Baraza la Kiswahili la Jumuiya ya Afrika Mashariki lazinduliwa Zanzibar

Imechapishwa:

Tume ya Lugha ya Kiswahili ya Afrika Masharik imezinduliwa rasmi kwa kwa lengo la kuhimiza uzungumzaji wa lugha hiyo katika ukanda wa Afrika Mashariki yenye watu zaidi ya Milioni 150.Je Kwa namna gani kiswahili kimefanikisha utangamano katika jumuiya ya Afrika mashariki.

Mji wa kitalii wa Zanzibar wa Stone Town
Mji wa kitalii wa Zanzibar wa Stone Town RFI
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.