Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Raila Odinga kutoa tamko la uelekeo wa NASA baada ya kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta

Imechapishwa:

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa wiki iliyopita.Odinga alitarajiwa kuwahotubia wafuasi wake hapo jana lakini muungano wa NASA, umesema kuwa tangazo hilo sasa litafanyika hii leo jumatano.Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 72, ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi huo, na kura zake ziliibiwa.

Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga.
Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga. REUTERS/Siegfried Modola
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.