Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kombe la Dunia 2018: Japani waibwagiza Colombia 2-1 na kuchukua nafasi ya kwanza katika kundi H

Raila Odinga kutoa tamko la uelekeo wa NASA baada ya kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta

Raila Odinga kutoa tamko la uelekeo wa NASA baada ya kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta
 
Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga. REUTERS/Siegfried Modola

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa wiki iliyopita.

Odinga alitarajiwa kuwahotubia wafuasi wake hapo jana lakini muungano wa NASA, umesema kuwa tangazo hilo sasa litafanyika hii leo jumatano.

Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 72, ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi huo, na kura zake ziliibiwa.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KENYA-UCHAGUZI

  Raila Odinga : Niko tayari kufichua wizi wa kura

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi, Raila Odinga apinga

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Muungano wa NASA wataka Raila Odinga kutangazwa mshindi wa urais

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA

  Raila Odinga :Mwanasiasa asiyekata tamaa katika azma ya kuwa rais wa Kenya

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana