Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sinema ya Tanzania

Imechapishwa:

Leo tunatupia jicho historia ya sanaa ya sinema nchini Tanzania kupitia filamu aina ya makala ya Siphorian Clement Belege wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Sinema Ujamaa. Sikiliza mada hii kwa kujua mengi kuhusu sinema ya Tanzania tokea uhuru wake.

Maonyesho ya sinema Ugaibuni.
Maonyesho ya sinema Ugaibuni. Crédits: Musée de Montmartre
Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.