Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Serikali ya Burundi na Cenared wakutana Finland kwa mazungumzo ya siri

Imechapishwa:

Serikali ya Burundi na upinzani wanakutana katika mkutano wao wa siri katika mji mkuu wa Finland, Helsinkini. Mkutano huu ni wa kwanza tangu kuzuka kwa mgogoro wa kisiasa, uliosababishwa na rais wa Burundi baada ya kuchukua uamuzi wa kuwania muhula wa tatu miaka miwili iliyopita.Je kuna matumaini ya kupatikana suluhu ya kisiasa?

Raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza
Raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.