Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kwanini wanasiasa barani Afrika hukwepa midahalo nyakati za uchaguzi?

Imechapishwa:

Hujambo karibu katika makala ya habari rafiki,leo tunaangazia tanbia ya wanasiasa wa Afrika kutojitokeza katika midahalo inayoandaliwa kuwakutanisha wagombea wa nafasi za kisiasa,kama ilivyoshuhudiwa nchini Kenya Naibu rais William Ruto na Kalonzo Musyoka kutoka muungano mkuu wa upinzani NASA kutojitokeza kushiriki katika mdahalo wa runinga siku ya Jumatatu usiku,Waandalizi wa mdahalo huo ambao ni wamiliki wa vyombo vya Habari nchini Kenya, wamejitokeza na kusema wagombea wenza wote walishirikishwa mapema kuhusu mdahalo huo, na ni aibu kutojitokeza kueleza mipango yao kwa wananchi wa taifa hilo kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe nane mwezi ujao.

Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta na naibu wake Willium Ruto
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta na naibu wake Willium Ruto
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.