Mjadala wa Wiki
Kenyatta adai Mahakama nchini Kenya inashirikiana na upinzani
Imechapishwa:
Cheza - 11:29
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anayewania urais kwa muhula wa pili, amedai kuwa Mahakama nchini humo inashirikiana na upinzani kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi Agosti.Hata hivyo, mgombea wa upinzani kupitia muungano wa upinzani NASA, Raila Odinga amesema matamshi ya Kenyatta yanaonesha kuwa atakataa kutambua matokeo ya urais.