Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kenyatta adai Mahakama nchini Kenya inashirikiana na upinzani

Kenyatta adai Mahakama nchini Kenya inashirikiana na upinzani
 
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ASHRAF SHAZLY / AFP

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anayewania urais kwa muhula wa pili, amedai kuwa Mahakama nchini humo inashirikiana na upinzani kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi Agosti.

Hata hivyo, mgombea wa upinzani kupitia muungano wa upinzani NASA, Raila Odinga amesema matamshi ya Kenyatta yanaonesha kuwa atakataa kutambua matokeo ya urais.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Wanasiasa nchini Kenya na Tume ya Uchaguzi washindwa kuelewana

  Soma zaidi

 • KENYA-UCHAGUZI-SIASA

  Tume ya uchaguzi Kenya kukutana na wagombea urais

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Mahakama nchini Kenya yasitisha zabuni ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura

  Soma zaidi

 • KENYA-UCHAGUZI-SIASA

  Rais Kenyatta na Odinga wajiondoa kwenye mdahalo wa wagombea

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-EU

  Waangalizi wa EU waonya uwezekano wa kutokea machafuko nchini Kenya

  Soma zaidi

 • KENYA-EU-UCHAGUZI

  EU yawatuma waangalizi wake Kenya

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA

  Wanasiasa nchini Kenya wapigwa marufuku kutumia lugha za mama

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA waahidi mabadiliko

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Kenya: Jubilee na NASA kuzindua Ilani zao kuelekea Uchaguzi Mkuu

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Ahadi za rais Kenyatta kwa Wakenya ikiwa atachaguliwa tena

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana