Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Miaka miwili baada ya mzozo wa kisiasa nchini Burundi

Imechapishwa:

Imekuwa ni miaka miwili tangu kuanza mzozo wa kisiasa nchini Burundi, baada ya rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwania urais kwa muhula wa tatu kinyume na mkataba wa  kisiasa wa Arusha. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema kuwa watu bado wanauawa, kukamatwa, kutekwa na kuzuiwa lakini serikali jijini Bujumbura inasema amani imerejea nchini humo.Tunachambua.

Rais Burundi Pierre Nkurunziza
Rais Burundi Pierre Nkurunziza wikipedia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.