Jua Haki Zako
Nafasi ya Wanawake Kwenye Uongozi Nchini Tanzania Sehemu ya Pili
Imechapishwa:
Cheza - 09:21
Fuatilia sehemu ya pili ya mada juu ya nafasi ya wanawake kwenye uongozi nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo, afisa kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anaendelea kutupasha.