Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Wanaharakati nchini Tanzania wazindua kampeni ya kulinda uhuru wa kujieleza

Wanaharakati nchini Tanzania wazindua kampeni ya kulinda uhuru wa kujieleza
 
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu upo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.

Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania kimezindua kampeni za kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa kukusanyika ili wananchi waweze kutambua haki zao kwa mujibu wa katiba.

Kituo hicho kwa ushirikiano na jukwaa la wahariri nchini Tanzania wamezindua kampeni hiyo baada ya kubaini matatizo yanayorudisha nyuma uhuru wa kukusanyika.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana