Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mazungumzo kuhusu amani ya Burundi

Imechapishwa:

Katika makala haya leo utasikia maoni kuhusu kumalizika kwa mazungumzo ya kutafuta amani ya Burundi ambayo yamemalizika jijini Arusha Tanzania bila muafaka kupatikana kuhusu namna ya kutatua changamoto zinazoikabili nchi hiyo. 

Benjamin Mkapa,mratibu wa mzozo wa Burundi
Benjamin Mkapa,mratibu wa mzozo wa Burundi EBRAHIM HAMID / AFP
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.