Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mchango wa vyombo vya habari katika maendeleo

Imechapishwa:

Juma hili tunatupia jicho tafiti iliyofanywa na mwanahabari wa Tanzania na mwanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Ananilea Nkya, juu ya mchango wa vyombo vya habari vya Tanzania katika maendeleo ya taifa.

Ananilea Nkya (wa kati) wakati wa mkutano na waandishi wa habari akibaini matokeo ya tafiti yake juu ya mchango wa vyombo vya habari nchini Tanzania katika maendeleo.
Ananilea Nkya (wa kati) wakati wa mkutano na waandishi wa habari akibaini matokeo ya tafiti yake juu ya mchango wa vyombo vya habari nchini Tanzania katika maendeleo. Picha na Karume Asangama, rfi - Kiswahili.
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.