Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 01/03 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 01/03 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 01/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mchango wa vyombo vya habari katika maendeleo

Mchango wa vyombo vya habari katika maendeleo
 
Ananilea Nkya (wa kati) wakati wa mkutano na waandishi wa habari akibaini matokeo ya tafiti yake juu ya mchango wa vyombo vya habari nchini Tanzania katika maendeleo. Picha na Karume Asangama, rfi - Kiswahili.

Juma hili tunatupia jicho tafiti iliyofanywa na mwanahabari wa Tanzania na mwanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Ananilea Nkya, juu ya mchango wa vyombo vya habari vya Tanzania katika maendeleo ya taifa.

 • Siku ya Sheria nchini Tanzania

  Siku ya Sheria nchini Tanzania

  Ungana nasi katika sehemu ya mwisho ya mada juu ya siku ya sheria nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo, afisa kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria …

 • Siku ya Sheria Tanzania 2017

  Siku ya Sheria Tanzania 2017

  Ungana na Wakili Naemy Silayo afisa kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki Za Binadamu akitueleza mengi kuhusu siku ya sheria nchini Tanzania …

 • Haki ya Kuandamana na Kujieleza Tanzania

  Haki ya Kuandamana na Kujieleza Tanzania

  Fuatilia kama kawaida mada moto moto juu ya sheria na haki za binadamu barani Afrika na duniani kwa ujumla.

 • Rushwa ya Ngono Sehemu ya Mwisho

  Rushwa ya Ngono Sehemu ya Mwisho

  Fuatilia sehemu ya pili na ya mwisho juu ya moja ya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania, ikiwa ni rushwa ya ngono. Wadau wanaendelea kuzungumza.

 • Rushwa ya Ngono

  Rushwa ya Ngono

  Juma hili tunagusia rushwa ya ngono inayowakumba wanawake barani Afrika hususan nchini Tanzania. Wadau wa haki za binadamu wanazungumza.

 • Sheria Dhidi ya Ubakaji Afrika Mashariki

  Sheria Dhidi ya Ubakaji Afrika Mashariki

  Fuatilia makala ya Jua Haki Zako kama kawaida. Juma hili tunatupia jicho sheria dhidi ya ubakaji kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana