Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kijiji cha Makumbusho

Imechapishwa:

Juma hili tunakuletea sehemu ya kwanza juu ya historia ya Kijiji cha Makumbusho, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania na nafasi yake kwenye utamaduni wa Mtanzania. Kwenye muziki tutaendelea kuangaza muziki wa Tanzania, sehemu ya tatu na burudani kama kawaida.

Mfano wa nyumba la kabila la Wazanaki kutoka mkoani Mara, nchini Tanzania.
Mfano wa nyumba la kabila la Wazanaki kutoka mkoani Mara, nchini Tanzania. Karume Asangama, rfi - Kiswahili.
Vipindi vingine
  • 19:45
  • 20:00
  • 19:47
  • 19:58
  • 19:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.