Juma hili tunakuletea sehemu ya kwanza juu ya historia ya Kijiji cha Makumbusho, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania na nafasi yake kwenye utamaduni wa Mtanzania. Kwenye muziki tutaendelea kuangaza muziki wa Tanzania, sehemu ya tatu na burudani kama kawaida.
Vipindi vingine
-
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa sehemu ya pili
Makala haya yameandaliwa na Florence Kiwuwa kwa ushirikiano na Ruben Lukumbuka.25/03/202419:45 -
Historia ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani na namna ilivyosherehekewa mwaka huu wa 2024
09/03/202420:00 -
Maandalizi ya siku ya wanawake duniani ya March 08
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na mwanaharakati Florence Kiwuwa ambae pia ni mtangazaji wa RFI Kiswahili kuhusu maandalizi ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani.09/03/202419:47 -
Historia ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika CAN sehemu ya pili
Makala haya ni sehemu ya pili ya historia ya michuano ya mataifa bingwa barani Afrika CAN.24/02/202419:58 -
Historia ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika CAN sehemu ya kwanza
Karibu kuungana naye Ali Bilali katika Makala ya leo Changu chako chako changu, ambapo anakuletea historia ya kombe la mataifa ya afrika na atiba ya shughuli kutoka Alliance francaise za ukanda na kwenye muziki atakuletea historia fupi ya mwanamuziki rapa kutoka nchini Kenya King Kaka. Kumbuka pia kumfolow kwa instagram15/02/202419:55