Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

VIta dhidi ya biashara ya dawa za kulevya Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Serikali za Kenya na Tanzania zimetangaza vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya. Nchini Tanzania, washukiwa na watumiaji wametajwa, huku serikali ya Kenya ikisema siku za walanguzi hao imefika mwisho.Je mataifa hayo yatafanikiwa katika vita hivi ?

Mmoja wa watumiaji wa dawa za kulevya, akionekana anajidunga sindano ya dawa hizi.
Mmoja wa watumiaji wa dawa za kulevya, akionekana anajidunga sindano ya dawa hizi. DR
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.