Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Raisi wa Uganda ataka wanajeshi wabakaji wauawawe

Imechapishwa:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema watu wanaopatikana na kosa la kuhusika na ubakaji, wanastahili kuuawa.Kiongozi huyo wa Uganda ameshutumu visa vya ubakaji na kusema kuwa mbakaji ni muuaji na anastahili pia kuawa.Madai haya yamekuja baada ya kuwepo kwa uchunguzi na ripoti kutolewa, ikiyashutumu wanajeshi wa UPDF kwa kuwabaka wanawake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza wakati wa mkutano wa mawaziri na makatibu wakuu wa wizara nchini humo, 31 Julai, 2016
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza wakati wa mkutano wa mawaziri na makatibu wakuu wa wizara nchini humo, 31 Julai, 2016 NRM Photo
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.