Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Raisi wa Uganda ataka wanajeshi wabakaji wauawawe

Raisi wa Uganda ataka wanajeshi wabakaji wauawawe
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza wakati wa mkutano wa mawaziri na makatibu wakuu wa wizara nchini humo, 31 Julai, 2016 NRM Photo

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema watu wanaopatikana na kosa la kuhusika na ubakaji, wanastahili kuuawa.
Kiongozi huyo wa Uganda ameshutumu visa vya ubakaji na kusema kuwa mbakaji ni muuaji na anastahili pia kuawa.
Madai haya yamekuja baada ya kuwepo kwa uchunguzi na ripoti kutolewa, ikiyashutumu wanajeshi wa UPDF kwa kuwabaka wanawake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • UGANDA-CAR

  Jeshi la Uganda UPDF kujiondoa CAR

  Soma zaidi

 • UGANDA

  Serikali ya Uganda yasema, Inspekta Mkuu wa Polisi hawezi kushtakiwa

  Soma zaidi

 • UFARANSA-UGANDA

  Ufaransa na Uganda zatia saini mkataba wa kushirikiana kijeshi

  Soma zaidi

 • UGANDA-SOMALIA-AMISOM

  Askari wa Uganda wahukumiwa Somalia

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana