Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

WFP kutoa msaada wa fedha badala ya chakula kwa wakimbizi Nyarugusu Tanzania

Imechapishwa:

Baadhi ya wakimbizi wanaoishi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu,Magharibi mwa Tanzania wameanza kupokea fedha taslimu shilingi elfu kumi kutoka Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) katika hatua za awali za kubadilisha mfumo wa sasa wa kuwapatia chakula kila mwezi.

Mwanamama mkimbizi kutoka Burundi akiwa kambini Nyarugusu Tanzania
Mwanamama mkimbizi kutoka Burundi akiwa kambini Nyarugusu Tanzania
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.