Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Sheria ya ndoa nchini Tanzania

Imechapishwa:

Juma hili tunatupia jicho sheria ya ndoa nchini Tanzania na haki za mtoto. Wakili Naemy Silayo na Afisa Programu kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anafafanua kwa kina.

Wanafunzi wakiwa mstari wa mbele kupinga mimba na ndoa za utotoni.
Wanafunzi wakiwa mstari wa mbele kupinga mimba na ndoa za utotoni.
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.