Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Serikali ya DRCongo yatangaza siku 3 za maombolezo

Imechapishwa:

Serikali ya DRCongo yatangaza siku tatu za maombolezo nchini humo kufuatia mauaji ya watu zaidi ya 50 yaliotokea mwishoni mwa juma lililopita. Makundi ya waasi wa ADF-Nalu kutoka Uganda na FDLR kutoka Rwanda yamekuwa yakinyooshewa kidole kuhusika na mauaji ya mara kwa mara nchini humo, hasa mauaji haya yametokea ikiwa ni siku chache baada ya rais Joseph Kabila kutamatisha ziara yake nchini humo. Ali Bilali anazungumza na wananchi kutoka katika maeneo mbalimbali kuzungumzia hali ya usalama na kutoa salam za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao.

Rais wa DRC, Joseph Kabila mwenye kaunda suti (Kushoto), akiwa na Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini (kulia) Julien Paluku, wakati alipotembelea mji wa Beni hivi karibuni
Rais wa DRC, Joseph Kabila mwenye kaunda suti (Kushoto), akiwa na Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini (kulia) Julien Paluku, wakati alipotembelea mji wa Beni hivi karibuni RFI
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.