Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hatimaye makamishna wa IEBC nchini Kenya waridhia kuachia ngazi

Imechapishwa:

Hatimaye makamishna wa tume ya uchaguzi nchini kenya IEBC wamekubali kuachia nyadhifa zao baada ya shinikizo lililoanzishwa na wanasiasa wa upinzani nchini Kenya wakati huu taifa hilo likijiandaa kuelekea katika uchaguzi mkuu mwaka ujao.Je nini hisia za wakenya na wasikilizaji katika ukanda wa afrika mashariki?

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukaguzi wa mipaka nchini Kenya, Isaack Hassan wakati alipokuwa akitangaza matokeo ya urais
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukaguzi wa mipaka nchini Kenya, Isaack Hassan wakati alipokuwa akitangaza matokeo ya urais Reuters
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.