Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Shule zaitwa “Yeboyebo” Tanzania

Imechapishwa:

Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa  “ Yeboyebo”, na kwa upande mwingine makala haya yanagusia shule binafsi zenye hadhi za kimataifa.

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kabanga, Ngara, Tanzania.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kabanga, Ngara, Tanzania. Julian Rubavu / RFI
Vipindi vingine
  • 09:58
  • 09:59
  • 09:58
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.