Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Rasimu ya Katiba inayopendekezwa yawasilishwa bungeni nchini Tanzania

Imechapishwa:

Kamati ya uandishi ya Bunge maalum la Katiba hivi karibuni iliwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kumaliza kazi yake mjini Dodoma Tanzania. Ndani ya Rasimu hiyo kuna masuala mazito ambayo yameibuka na kujua undani wake fuatilia makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile........

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano Ikulu/Issa Michuzi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.